![]() |
Fire and Rescue Service |
💥UNASUBIRI NINI? FOLLOW US ON INSTAGRAM. CLICK HERE!💥
AJIRA MPYA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJIÂ TANZANIA 2025 | NAFASI MPYA ZA KAZI JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI TANZANIA 2025
PDF File -WALIOITWA Kwenye Mafunzo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mei 2025
Overview
za Ajira Mpya JESHI la Zimamoto Tanzania Mei 2025, Ajira Mpya JESHI la
Zimamoto Mei 2025, Ajira Mpya JESHI la Zimamoto Tanzania, Nafasi Mpya za
Kazi JESHI la Zimamoto Tanzania Mei 2025, Tanzanian Fire and Rescue
Force Jobs 2025, Ajira Mpya JESHI la Zima moto Tanzania Mei 2025, Ajira
Mpya JESHI la Zima Moto Mei 2025, Ajira Mpya JESHI la Zima Moto
Tanzania, Nafasi Mpya za Kazi JESHI la Zima Moto Tanzania Mei 2025
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
KUITWA KWENYE MAFUNZO YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
la Zimamoto na Uokoaji linatangaza majina ya waliochaguliwa kuhudhuria
mafunzo ya Uaskari ngazi ya Konstebo wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.
wote wanatakiwa kufika Chuo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilichopo
Chogo Wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga kuanzia tarehe 16 Mei, 2025 hadi
tarehe 18 Mei, 2025 bila kukosa; kwa ambaye hatafika chuoni kwa tarehe
zilizopangwa hatapokelewa na nafasi yake itachukuliwa na mtu mwingine.
Kufika
chuoni shuka kituo cha Kabuku kilichopo kilometa 12 toka chuoni. Chuo
kimeandaa utaratibu maalumu wa kuwapokea kwa tarehe zilizotajwa hapo
juu, kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku.
Mhusika atapaswa kujigharamia nauli ya kwenda sambamba na chakula na malazi kwa siku zote ambazo atakuwa hajapokelewa Chuoni.
-
NEW TANZANIAN JOBS, INTERNSHIPS AND VOLUNTEERING OPPORTUNITIES 2025 (1,475 POSTS)
- CHECK SCHOLARSHIPS OPPORTUNITIES TO STUDY ABROAD CLICK HERE!
- Download Your National ID (NIDA) Number Here | Download NAMBA NA KITAMBULISHO CHAKO CHA NIDA. BONYEZA HAPA!Â
- PAST PAPERS ZA DARASA LA 7 MPAKA FORM SIX | NECTA AND MOCK EXAMS 1988 – 2019. CLICK HERE!Â
- Free
CV Writing and Download, Cover/Job Application Letters, Interview
Questions and It’s Best Answers plus Examples. Click Here!
Mhusika
anapaswa kuja akiwa na vyeti halisi vya masomo, taaluma au ujuzi
alioombea pamoja na cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha NIDA au namba
na leseni hai kwa walioomba nafasi ya udereva. Vyeti vyote tajwa hapo
juu viwe na nakala tatu kwa kila cheti pia vyeti hivyo vitakaguliwa na
kwa ambaye majina yake yatatofautiana kati ya vyeti vya shule/taaluma,
NIDA na cheti cha kuzaliwa watarudishwa na nafasi zao zitachukuliwa na
wengine.
Mhusika atakapofika chuoni awe tayari kupimwa afya ya
mwili, akili na Mimba kwa wanawake na ambaye atabainika kuwa na kasoro
za kiafyahataruhusiwa kuendelea na mafunzo na atarudishwa kwa gharama
zake na nafasi yake itachukuliwa na mtu mwingine.
Wahusika wote
wanatakiwa kuja na vifaa vifuatavyo: mashuka mawili (02) ya rangi ya
bluu, mto 01 na foronya 02 ya rangi ya bluu, chandarua 01 rangi ya bluu
(cha duara), ndoo ya plastiki ya lita 20, sahani na kikombe cha bati,
fedha kiasi kwa matumizi binafsi na bima za afya kwa walionazo. Aidha
vifaa vifuatavyo watanunua kwenye duka la Chuo, raba za michezo, fulana
(T-shirt) rangi ya bluu, Madaftari makubwa (counter books 4 quire 5
pcs), vifaa vya michezo (truck suite, bukta bluu, na fulana) na kalamu.
PDF File -WALIOITWA Kwenye Mafunzo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mei 2025