in , , , , , , , ,

JESHI LA POLISI: Walioitwa Kujiunga Jeshi la Polisi Juni 2025

JESHI LA POLISI, Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Polisi June 2025
Tanzania Police Force

JESHI LA POLISI: Walioitwa Kujiunga Jeshi la Polisi Juni 2025

💥UNASUBIRI NINI? FOLLOW US ON INSTAGRAM. CLICK HERE!💥

JESHI LA POLISI: Walioitwa Kujiunga Jeshi la Polisi June 2025

Call for Work Police Force Tanzania June 2025

JESHI
LA POLISI: Walioitwa Kujiunga Jeshi la Polisi, Walioitwa Kujiunga Jeshi
la Polisi 2025, JESHI LA POLISI Kuitwa kwenye Mafunzo, Walioitwa
Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi June 2025, JESHI LA POLISI Kuitwa
Kwenye Mafunzo, Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi June 2025,
Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi 2025, Walioitwa Kwenye Mafunzo
Jeshi la Polisi 2025, Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi 2025
PDF, Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi June 2025,
Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi 2025, Kuitwa
kwenye Mafunzo jeshi la polisi 2025, Kuitwa kwenye Mafunzo jeshi la
Polisi 2025, Ajira Mpya Jeshi la Polisi Tanzania 2025, Jobs at Tanzania
Police Force, Job Opportunities Jeshi la Polisi Tanzania 2025

JESHI LA POLISI: Walioitwa Kujiunga Jeshi la Polisi Juni 2025

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

JESHI LA POLISI TANZANIA

TANGAZO LA KURIPOTI SHULE YA POLISI MOSHI KWA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANIA
1.
Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana waliochaguliwa kujiunga na
Jeshi la Polisi Tanzania kuwa wanatakiwa kuripoti Shule ya Polisi Moshi
kuanzia tarehe 12/06/2025 hadi tarehe 14/06/2025 kwa ajili ya
kuhudhuria mafunzo.

2. Vijana waliofanyiwa usaili Dar es Salaam
kwenye Vikosi vilivyo chini ya Makao Makuu ya Polisi wataripoti jijini
Dar es Salaam katika uwanja wa gwaride uliopo Kambi ya Polisi (Police
Barracks) barabara ya Kilwa nyuma ya kituo cha Polisi Kilwa Road tarehe
12/06/2025 saa 12.00 asubuhi kwa ajili ya safari ya kwenda Shule ya
Polisi Moshi.

3. Vijana waliofanyiwa usaili Mikoa ya Tanzania
Bara wanatakiwa kuripoti kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa waliofanyia
usaili tarehe 11/06/2025 saa 2.00 asubuhi kwa ajili ya kupewa utaratibu
wa safari ya kwenda Shule ya Polisi Moshi.

4. Vilevile, vijana
waliofanyia usaili Zanzibar (Unguja na Pemba) wanatakiwa waripoti Makao
Makuu ya Polisi Zanzibar (Ziwani) tarehe 11/06/2025 saa 2.00 asubuhi kwa
ajili ya kupangiwa utaratibu wa safari. 
Read Also:

5. Aidha, vijana wote waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti Shule ya Polisi Moshi wakiwa na vifaa vifuatavyo:
i)
Traki suti (track suit) rangi ya bluu (blue) yenye ufito mweupe, fulana
(t-shirt) nyeupe isiyo na maandishi, raba, soksi nyeusi, bukta mbili
(2) za bluu (blue) kwa ajili ya michezo na mazoezi pamoja na sanduku la
chuma (Tranka) la rangi ya bluu.
ii) Chandarua cheupe cha duara na
sio cha pembe nne, shuka za rangi ya bluu mpauko (light blue) jozi mbili
(Shuka 4), pasi ya mkaa na blanket moja la kijivu lisilo na maua na sio
duveti.
iii) Kikombe cha plastiki ambacho kimetengenezwa kwa matirio ya mfupa (Cream light), Sahani moja aina ya ‘steel dish plate’.
iv) Vifaa vya usafi: Sururu moja lenye mpini, ndoo mbili ndogo na fagio la chelewa.
v) Kadi ya bima ya Afya (NHIF) kama anayo au fedha taslimu Tsh. 50,400/= kwa wasio na kadi za bima ya Afya.
vi)
Vyeti halisi vya taaluma (Original Academic Certificates), cheti halisi
cha kuzaliwa, kadi ya NIDA au namba ya Utambulisho wa Taifa (NIDA),
Nakala za kadi za NIDA au namba za Utambulisho wa Taifa (NIDA) za wazazi
na watu wa karibu upande wa Baba na Mama (kama vile Baba, Baba mkubwa,
Baba mdogo, Shangazi, Mama, Mama mkubwa, Mama mdogo, Mjomba, Babu nk),
passport size 6 (background blue), na nakala (copy) 5 kwa kila cheti
kilichoainishwa hapo juu.
vii) Fedha za kujikimu.

6. Simu za
mkononi haziruhusiwi chuoni, hivyo ni marufuku kuripoti Shule ya Polisi
Moshi ukiwa na simu ya mkononi. Yeyote atakayepatikana na simu
itachukuliwa kuwa ni utovu wa nidhamu na adhabu yake ni kufukuzwa
mafunzo mara moja. Shule itaelekeza utaratibu wa kupata mawasiliano.

7.
Kwa yeyote atakayeripoti Shule ya Polisi Moshi baada ya tarehe
14/06/2025 hatopokelewa na atahesabika amejiondoa mwenyewe kwenye
mafunzo.

8. Orodha ya vijana waliochaguliwa imeambatishwa kwenye tangazo hili.
Imetolewa na;
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi,
S.L.P 961,
DODOMA.
01/06/2025.

JESHI LA POLISI: Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Polisi June 2025 PDF

Kupakua/download tangazo kamili na orodha ya majina bonyeza link hapa chini.

Official Released Date: 01st June, 2025.
SOURCE: POLISI TANZANIA OFFICIAL WEBSITE
TO DOWNLOAD PDF FILE. CLICK HERE!
logoblog





JOIN US ON TELEGRAM
Get Notifications Faster by:

9 New FORM FOUR and Above Government Jobs at Utumishi June 2025

New Tender Vacancies at Arusha Co-operative Union Ltd (ACU Ltd) June 2025