Nafasi ya Kazi Afisa Mauzo AAR Insurance Dodoma, Tuma Maombi Kabla ya Tarehe 3 Mei 2019

Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

AAR Insurance Limited ni sehemu ya kampuni ya AAR Holdings ambayo ndiyo kampui kubwa zaidi kwa kampuni binafsi za bima ndani ya Afrika Mashariki, Nchini Tanzania Makao yake makuu yako Dar es Salaam, pia ina ofisi za mauzo Ausha, Mwanza Dodoma na Zanzibar

AAR Insurane Tanzania Limited inatoa nfasi sawa za ajira kwa wanaume na wanawake wenye sifa

Kwakuzingatia malengo ya kuwa na uangalizi mzuri, Imara na wa mara kwa mara katika maeneo makuu ya utendaji wa kazi tunatarajia kuajiri nafasi ifuatayo

AFISA MAUZO

KAZI ZA AFISA MAUZO

  • Kufanya uchubguzi, kutafiti na kutafuta maeneo mapya ya kibishara ili kuiwezesha kampuni kutimiza malengo yaliojiwkea ya ukusanyaji mapata
  • Afisa mauzo atakaeajiriwa atafanya kazi zake Dodoma na ataripoti kwa Meneja Uendeshaji Biahara amabaye anasimamia ofisi za mawakala

ELIMU NA UJUZI KWA MUOMBAJI

  • Muombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo
  • shahada ya kwanza au stashahada katika fani yoyote ile

TAALUMA

  • Mwenye cheti cha COP atapewa nafasi zaidi

UJUZI NA UWEZO BINAFSI

  • Ujuzi wa mawasialiano (Communication Skills)
  • Uwezo wa Kujieleza (Presentation skills)
  • Uwezo wa kuelewa watu (People Skills)
  • Uwezo wa kutumia kompyuta

SIFA BINAFSI

a. Uwezo wa kuwasialiana kimaandishi na kimazungumzo
b. Uwezo wa kuwaelewa watu na kuwatambua watu/ kuamiliana mna watu
c. Uwezo wa kushirikiana vyema na wengine katika ujuzi
d. Uaminifu na kujiheshimu
e. Mwenye tabia nzuri na mwenye kuanagalia malengo yake ya kazi
e. Mwnye hamu ya kutimiza malengo yake ya kazi
f. Mwenye kujituma
g. Mwenye kuweza kutumia zivuzi Kingereza na Kiswahili

Waombaji wanatakiwa kuambatanisha maombi yao na maelezo binafsi (CV) Pamoja na vivuli vya vyeti vyao na watume mojakwa moja ofisini watume kwa

Meneja Mauzo,
AAR Insurance (Tanzania) Limited,
Kazimoto Shoppers Plaza Ground Floor, Mkabala na TRA
DODOMA

AU watume kwa Email [email protected] tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 3 mEI 2019

Source link

(Visited 219 times, 1 visits today)