Nafasi za KAZI Mawakala wa Mauzo (Nafasi 60)

Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Image result for jobs
Location
Ilala, Kitunda Dar Es Salaam
Description
Kampuni ya AGRI-NUTRITION ENTERPRISE inatoa fursa mbalimbali kama ifuatavyo:

  1. Unaweza kuongeza kipato chako kwa kufanya ONLINE JOBS. Kazi hizi zinaweza kukupatia hadi shilingi LAKI TANO (500,000) kwa mwezi kama kipato chako cha ziada.
  2. Waweza pia kuwa wakala wa mbolea ya maji popote hapa nchini Tanzania, kwa mtaji wa shilingi 75,000 tu. Kwa kiasi hicho cha pesa utapata faida ya shilingi 117,000-137,000 kwa kila lita moja ya mbolea. Lita moja hiyo ya mbolea utainunua kwa shilingi 75,000 tu ambao ndio mtaji wako. Fikiria ukiweza uza lita tatu tu kwa mwezi, una faida ya shilingi 351,000-411,000. Unasubiri nini, ANZA SASA!

3.Unaweza pia kuwa wakala wa kuuza dawa lishe (dawa zisizo na kemikali) kwa mtaji wa shilingi 30,000 na kuendelea. Kujiunga na kuwa mwanachama wa kampuni ni shilingi 35,000 tu. Dawa lishe hizo hutibu ama kuzuia magonjwa kama: Kisukari, presha, kansa mbalimbali, ugumba na utasa, kufunga choo, uvimbe nk.
Furahia fursa hizi kwa kuzifanya.

Tembelea tovuti hiyo kwa maelezo zaidi.

To apply for this job, please go to the following website macpinternational.wordpress.com

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.
(Visited 2,794 times, 1 visits today)